Baraka Oscar Mung'ong'o Apps

Majanga Tupu 5.0.8
Kwa habari motomoto, mikasa, vituko namatukioya kusisimua. Tembelea Majanga Tupu kila siku iliuhabarike.Majanga Tupu ni programu ya sikanu na rununu ambayoinakuwezeshakuwa wa kwanza kupata habari mbalimbali. Zimo:Makala za kusisimuaMikasa ya kutishaViojaHabari za KisiasaHabari za KijamiiMaarifaAfyaPichaVideoNafasi za KaziTembelea programu hii kila siku ujifunze mambo mapya.
Mama Mjamzito 1.1.7
Mjamzito ni programu ya simu inayokupa elimuyamama mjamzito. Utapata ufahamu kwa kina namna ya kulea mimbanahatimaye kujifungua. Programu hii inagusa mambo yote kwakinayanayohusu uzazi kwa ujumla. Zijue mbinu za kupata mtotokwauharaka zaidi na jinsia uitakayo.Pia yajue matatizo ambayo yanaweza kusababisha ukakosakushikaujauzito kwa muda au kutokushika ujauzito kabisa. Utakuwa nauwezowa kuuliza maswali ya papo kwa papo na utapata ushauri juu yaafyaya uzazi kutoka kwa matabibu wabobezi.
Vunja Mbavu 4.0.9
Kiswahili: Vunja Mbavu ni programu ya simu janja ambayoinawawezeshawatumiaji kutafuta na kusoma vichekesho na vunja mbavunyingizilizoandikwa kwa lugha ya kiswahili. Tunaamini kwambakuchekahuleta furaha katika maisha na tunaamini kuwa kucheka nizaidi yatiba kwa binadamu. Vunja Mbavu ina mjumuisho wa vichekeshoambavyovinaweza kumfanya mtu yeyote akacheka na kuburudika. Jambolakufurahisha zaidi ni kuwa, vichekesho vyetu vinaweza kusomaaukuangaliwa na familia pia kwa sababu havina lugha ya kuudhiaumatusi. Vichekesho vyetu viko katika mfumo wa maandishi,katuni,picha, sauti, na video jambo linalompa kila mtumiaji waprogramuhii wasaha wa kufurahi kwa kila aina ya vichekesho. Aidhakuna:Vichekesho Vioja Katuni Makala Simulizi Siasa Jamii PichaVideoEnglish: Vunja Mbavu is an application which allows users tosearchand read jokes written in Swahili language. We believethatlaughing can have impact into happiness living and we believethatlaughing is more than medication to stressed people. VunjaMbavuapp has a collection of different jokes which can make anyonelaughand have fun. The good thing is; Vunja Mbavu is for everyoneevenfamily jokes because we regulate abusive languages and webelieveanyone can laugh without hearing abusive words. These jokesare inform of texts, cartoons, pictures, audio, animations andvideos.This gives users a wide range to entertain themselvesintodifferent forms of multimedia elements.